Unaweza kupata menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini.
Mipangilio > Mipangilio ya Jumla > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea > Mipangilio ya Hifadhi/Sambaza > Mipangilio ya Kawaida
Kwenye skrini ya Web Config, unaweza kutafuta menyu hapa chini.
Kichupo cha Fax > Fax Box > Inbox
Kichupo cha Fax > Save/Forward Settings > Common Settings
Unaweza kuteua operesheni ya kuchapisha faksi iliyopokewa au kukataa kuipokea wakati kumbukumbu ya Kisanduku pokezi imejaa.
Nenosiri hulinda Kisanduku pokezi ili kuwazuia watumiaji dhidi ya kutazama faksi zilizopokewa. Teua Badilisha ili kubadilisha nenosiri, na uchague Weka upya ili kughairi ulinzi wa nenosiri. Wakati unabadilisha au kuweka upya nenosiri, unahitaji nenosiri la sasa.
Huwezi kuweka nenosiri wakati Chaguo wakati kumbukumbu imejaa imewekwa kwa Pokea na uchapishe faksi.
Unaweza kubainisha mada kwa barua pepe unapotuma mbele barua pepe kwenye anwani ya barua pepe.
Kuteua Washa kiotomatiki hufuta nyarak za faksi iliyopokewa kwenye kikasha pokezi baada ya muda fulani.
Weka kipindi cha siku ambapo kichapishi kitafuta nyaraka zilizohifadhiwa kwenye kikasha pokezi baada ya kipindi hicho kukwisha.
Chagua nyaraka unazotaka kufuta kwenye Zilizosomwa, Ambazo Hazijasomwa na Zote.