Epson
 

    XP-8700 Series

    Mwongozo wa Mtumiaji

    > Kutatua Matatizo > Haiwezi Kuchapisha au Kuchanganua > Printa Haiwezi Kuunganishwa kwenye Mtandao > Sababu na suluhisho kuu la matatizo ya muunganisho wa mtandao

    Sababu na suluhisho kuu la matatizo ya muunganisho wa mtandao

    Ikiwa muunganisho wa Wi-Fi umeshindikana, angalia yafuatayo ili kuona ikiwa kuna matatizo na operesheni au mipangilio ya kifaa kilichounganishwa.

    • Tatizo fulani limetokea kwenye kifaa cha mtandao kwa muunganisho wa Wi-Fi.

    • Vifaa haviwezi kupokea mawimbi kutoka kwenye kipanga njia pasiwaya kwa sababu vimetenganishwa kwa mbali sana.

    • Unapobadilisha kipanga njia pasiwaya, mipangilio hailingani na kipanga njia kipya.

    • SSID zilizounganishwa kutoka kompyuta au kifaa maizi na komyuta ni tofauti.

    • Kitenganishi cha faragha kwenye kipanga njia pasiwaya kinapatikana.

    • Anwani ya IP haijapangiwa ipasavyo.

    • Kifaa kilichounganishwa kwenye kituo cha USB 3.0 kinasababisha mtafaruku wa mawimbi.

    • Kuna tatizo na mipangilio ya mtandao kwenye kompyuta au kifaa maizi.

    Chapisha Kurasa zilizochaguliwa

    © 2022-2025 Seiko Epson Corp.