Sababu na suluhisho kuu la matatizo ya muunganisho wa mtandao
Tatizo fulani limetokea kwenye kifaa cha mtandao kwa muunganisho wa Wi-Fi.
Unapobadilisha kipanga njia pasiwaya, mipangilio hailingani na kipanga njia kipya.
SSID zilizounganishwa kutoka kompyuta au kifaa maizi na komyuta ni tofauti.
Kitenganishi cha faragha kwenye kipanga njia pasiwaya kinapatikana.
Kifaa kilichounganishwa kwenye kituo cha USB 3.0 kinasababisha mtafaruku wa mawimbi.
Kuna tatizo na mipangilio ya mtandao kwenye kompyuta au kifaa maizi.