Anwani ya IP haijapangiwa ipasavyo.

Iwapo anwani ya IP iliyopangiwa kichapishi ni 169.254.XXX.XXX, na barakoa ndogo ni 255.255.0.0, huenda anwani ya IP isipangiwe kwa usahihi.

Teua Mipangilio > Mipangilio ya Mtandao > Mahiri > TCP/IP kwenye paneli dhibiti ya kichapishi, kisha uangalie anwani ya IP na barakoa ndogo iliyopangiwa kichapishi.

Washa upya kipanga njia chako pasiwaya au weka upya mipangilio ya mtandao kwa kichapishi.