Kuendesha Usafishaji wa Nishati (Windows)

  1. Nenda kwa dirisha la kiendeshi cha kichapishi.

  2. Bofya Usafishaji wa Kichwa kwenye kichupo cha Utunzaji.

  3. Teua Usafishaji wa Nishati.

  4. Fuata maagizo ya kwenye skrini.

    Muhimu:

    Ikiwa ubora wa chapisho haujaimarika baada ya kuendesha Usafishaji wa Nishati, subiri kwa angalau saa 6 bila kuchapisha kisha uchapishe ruwaza ya uangaliaji nozeli tena. Endesha Inasafisha au Usafishaji wa Nishati tena kwa kutegemea ruwaza iliyochapishwa. Ikiwa ubora bado hajuaimarika, wasiliana na timu ya usaidizi ya Epson.