Kuendesha Usafishaji wa Nishati

Kipengele cha Usafishaji wa Nishati kinaweza kuimarisha ubora katika hali zifuatazo.

  • Nozeli zinapoziba.

  • Ikiwa umeangalia nozeli na kusafisha kichwa mara 2 na ukasubiri kwa muda wa saa 6 bila kuchapisha lakini bado ubora wa chapsiho haukuimarika.

Muhimu:

Usafishaji wa Nishati hutumia wino mwingi sana kuliko usafishaji wa kichwa.