Sanidi au badilisha mipangilio ya mtandao wa pasi waya. Chagua mbinu ya muunganisho kutoka kwa zifuatazo na kisha ufuate maagizo kwenye paneli dhibiti.
Kisogora cha Usanidi wa Wi-Fi
Usanidi wa Kitufe cha Kusukuma(WPS)
Mahiri
Nyingine
Usanidi Msimbo PIN (WPS)
Unganisha Wi-Fi Kiotomatiki
Lemaza Wi-Fi
Unaweza kutatua matatizo ya mtandao kwa kulemaza mipangilio ya Wi-Fi au kuweka mipangilio ya Wi-Fi tena. Donoa
> Kipangishi njia > Anza Kusanidi > Usanidi wa Wi-Fi > Nyingine > Lemaza Wi-Fi > Anza Kusanidi.
iOS
Android
Vifaa Vingine vya OS
Badilisha
Badilisha Jina la Mtandao
Badilisha Nywila
Badilisha Masafa ya Wimbi
Huenda mipangilio hii isionyeshwe kulingana na eneo.
Lemaza Wi-Fi Direct
Rejeza Mipangilio Chaguo-msingi
Sanidi au badilisha muunganisho wa mtandao ambao hutumia kebo za LAN na kipanga njia. Wakati hii inatumika, miunganisho ya Wi-Fi inalemazwa.
Huonyesha au huchapisha mipangilio ya sasa ya mtandao.
Hali ya LAN/Wi-Fi ya Waya
Hali ya Wi-Fi Direct
Hali ya Seva ya Barua pepe
Chapisha Karatasi ya Hali