Teua kipengele hiki ili iangalie kama nozeli za kichwa cha kuchapisha zimeziba.Kichapishi huchapisha ruwaza ya ukaguzi wa nozeli.
Teua kipengele hiki ili kusafisha nozeli zilizoziba katika kichwa cha kuchapisha.
Teua kipengele hiki ili kufanya usafishaji kabisa ikiwa kichwa cha kuchapisha kimeziba sana au bado kimeziba baada ya usafishaji wa kawaida. Wino zaidi unatumika kuliko wakati wa usafishaji wa kawaida.
Tumia kipengele hiki ili kubadilisha vibweta vya wino kabla ya wino kuisha.