> Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Programu

Maelezo ya Programu

Sehemu hii hutambulisha huduma za mtandao na bidhaa za programu zinazopatikana kwa kichapishi chako kutoka kwenye tovuti ya Epson au diski ya programu iliyotolewa.