/ Maelekezo Muhimu / Kulinda Taarifa Yako ya Kibinafsi

Kulinda Taarifa Yako ya Kibinafsi

Ukimpatia mtu mwingine printa au kuitupa, futa taarifa yote ya kibinafsi iliyowekwa katika kumbukumbu ya printa kwa kuchagua Mipangilio > Rejesha Mipangilio Msingi > Ondoa Data na Mipangilio Yote katika paneli dhibiti.