/ Mipangilio ya Faksi / Kuunda Mipangilio Kibinafsi kwa Vipengele vya Faksi ya Kichapishi / Kuunda Mipangilio ya Kutuma na Kupokea Faksi kwenye Kompyuta / Kufanya Mpangilio wa Hif'hi k. Kompyuta ili Pia Kuchapisha kwenye Kichapishi ili Kupokea Faksi

Kufanya Mpangilio wa Hif'hi k. Kompyuta ili Pia Kuchapisha kwenye Kichapishi ili Kupokea Faksi

Unaweza kuunda mpangilio ili kuchapisha faksi zilizopokewa kwenye kichapishi na pia kuzihifadhi kwenye kompyuta.

  1. Chagua Mipangilio kwenye skrini ya mwanzo kwenye paneli dhibiti ya kichapishi.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Chagua Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea.

  3. Chagua Hif'hi k. Kompyuta > Ndiyo na Uchapishe.