/ Kutatua Matatizo / Kuondoa Karatasi Iliyokwama / Kuondoa Karatasi Iliyokwama kutoka kwa ADF

Kuondoa Karatasi Iliyokwama kutoka kwa ADF

  1. Fungua kifuniko cha ADF.

  2. Ondoa karatasi iliyokwama.

  3. Inua trei tingizo ya ADF.

    Muhimu:

    Hakikisha kuwa umefungua kifuniko cha ADF kabla ya kuinua trei ingizo ya ADF. Vinginevyo, huenda ADF ikaharibika.

  4. Ondoa karatasi iliyokwama.

  5. Shusha trei ingizo ya ADF.

  6. Funga kifuniko cha ADF hadi kitoe mibofyo.