Mipangi. Utambazaji

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini:

Faksi > Menyu > Mipangi. Utambazaji

Mwonekano

Teua mwonekano wa faksi inayotoka. Iwapo utateua mwonekano wa juu, ukubwa wa data unakuwa mkubwa na inachukua muda ili kutuma faksi.

Uzito

Huweka uzito wa faksi inayotoka. Bonyeza ili kukoleza uzito, na bonyeza ili kuufanya uwe hafifu.

Uta'ji Unao'a ADF

Kutuma faksi kwa kuweka nakala asili moja baada ya nyingine, au kwa kuweka nakala asili kwa ukubwa, unaweza kuzituma kama waraka mmoja kwa ukubwa wake asili. Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini kuhusu mada hii.

Ukubwa Asili (Glasi)

Teua ukubwa na uelekeo wa waraka halisi uliyowekwa kwenye glasi ya kichanganuzi.

Hali ya Rangi

Teua iwapo utatambaza kwenye rangi au katika monokromu.