Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matini au taswira Iliyonakiliwa kutoka kwenye ADF Imefinywa au Kurefushwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Unaweza kutafuta menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini:
Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Kupokea
|
Kipengee |
Ufafanuzi |
|---|---|
|
Hif'hi k. Kompyuta |
Huhifadhi faksi zilizopokewa kama faili za PDF kwenye kompyuta iliyounganishwa kwenye kichapishi. Unaweza kuweka hii kwenye Ndiyo kwa kutumia tu FAX Utility. Sakinisha FAX Utility kwenye kompyuta mapema. Baada ya kuweka hii kwenye Ndiyo, unaweza kubadilisha hii kwa Ndiyo na Uchapishe. |
|
Upunguzaji Otomatiki |
Huchapisha faksi zilizopokewa kwa nyaraka za ukubwa zaidi uliopunguzwa ili kutoshea kwenye chanzo cha karatasi. Upunguzaji huenda usiwezekane kulingana na data iliyopokewa. Ikiwa kipengele hiki kimezimwa, hati kubwa huchapishwa kwa ukubwa wake asili kwenye karatasi nyingi, au ukurasa tupu wa pili unaweza kutolewa. |
|
Mip. Kug'ya Ukurasa |
Huchapisha faksi zilizopokewa kwa ya kugawa ukurasa wakati ukubwa wa nyaraka ni kubwa kuliko ukubwa wa karatasi iliyopakiwa kwenye kichapishi. |
|
Uzun'ji Otomatiki |
Huzungusha faksi zilizopokewa kama mwelekeo wa ulalo, nyaraka za ukubwa wa A5 ili iweze kuchapishwa kwenye karatasi ya ukubwa wa A5. Mpangilio huu unatekelezwa wakati ukubwa wa A5 umewekwa kwenye Mipangilio > Usanidi wa Printa > Mip'o Chanzo Karatasi > Mipangilio ya Karatasi > Ukubwa wa Karatasi. Kuteua Zima, faksi zinazopokewa kama mwelekeo wa ulalo wa ukubwa wa A5, upana sawa kama nyaraka za taswira ya A4, havidhibitishwi na kuchapishwa kama faksi za ukubwa wa A4. |
|
Ongeza Maelezo ya Mapokezi |
Maelezo ya mapokezi ya machapisho kwenye faksi iliyopokewa, hata iwapo mtumaji hajaweka maelezo ya kijajuu. Maelezo ya mapokezi yanajumuisha tarehe na saa, Kitambulisho cha mtumaji, na nambari ya ukurasa (kama vile “P1”). Wakati Mip. Kug'ya Ukurasa imewezeshwa, nambari ya kugawanya ukurasa pia inajumuishwa. |
|
Pande 2 |
Huchapisha kurasa anuwai za faksi zilizopokewa katika pande zote za karatasi. |
|
Muda Kuanza Ku'ha |
Teua chaguao ili kuanza kuchapisha faksi za kupokea.
|
|
Kitita cha Ulinganisho |
Kwa kuwa ukurasa wa kwanza unachapishwa mwisho (towe upande wa juu), nyaraka zilizochapishwa zinawekwa pamoja kwenye utaratibu sahihi wa ukurasa. Wakati kumbukumbu ya printa inapungua, kipegele hiki huenda kizipatikane. |
|
Muda Kuk'a K'isha |
Wakati wa kipindi fulani cha muda uliobainisha kutoka Muda Kuk. kupitia Washa tena uliyobainisha, kichapishi huhifadhi nyaraka zilizopokewa kwenye kumbukumbu ya kichapishi bila kuzichapisha. Kipengele hiki kinaweza kutumiwa kuzuia kelele usiku au kuzuia hati za usiri kufichuliwa wakati uko mbali. Kabla ya kutumia kipengele hiki, hakikisha kuna kumbukumbu ya kutosha. Unapoweka hii kwa Zima, unaweza kuchapisha nyaraka zilizopokewa hata kabla ya muda wa kuwasha. |
|
Hali Tulivu |
Hupunguza kelele ambazo kichapishi hutoa unapochapisha faksi, hata hivyo, kasi ya kuchapisha inaweza kupunguzwa. |