Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matini au taswira Iliyonakiliwa kutoka kwenye ADF Imefinywa au Kurefushwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Kagua yafuatayo ikiwa huwezi kutuma faksi kwa mpokeaji fulani kwa sababu ya hitilafu.
Ikiwa mashine ya mpokeaji haichukui simu yako ndani ya sekunde 50 baada ya printa kimaliza kudayo, simu hiyo itakatika kwa hitilafu. Dayo ukitumia simu iliyounganishwa ili ukague muda inayochukua kabla ya kusikia toni ya faksi. Ikiwa itachukua zaidi ya sekunde 50, ongeza kusimamisha bada ya nambari ya faksi ili utume faksi. Kistari kinaingizwa kama alama ya kusimamisha. Kusimamisha mara moja ni kama sekunde tatu. Ongeza kusimamisha mara nyingi inavyohitajika.
Ikiwa umechagua mpokeaji kutoka kwa orodha ya waasiliani, thibitisha kwamba taarifa iliyosajiliwa ni sahihi. Iwapo maelezo ni sahihi, teua mpokeaji kwenye Kisimamia Waasiliani > Hariri, na kisha ubadilishe Modi ya Mawasiliano hadi Polepole(9,600bps).