/ Mipangilio ya Mtandao / Kulemaza Wi-Fi kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Kulemaza Wi-Fi kutoka kwenye Paneli Dhibiti

Wakati Wi-Fi imelemazwa, muunganisho wa Wi-Fi unakatwa.

  1. Teua Usanidi wa Wi-Fi kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua Wi-Fi (Inapendekezwa).

  3. Bonyeza kitufe cha OK ili kuendelea.

  4. Teua Nyingine.

  5. Teua Lemaza Wi-Fi.

  6. Angalia ujumbe, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.