/ Kutatua Matatizo / Matatizo Mengine / Sauti za Operesheni ziko Juu

Sauti za Operesheni ziko Juu

Ikiwa sauti za operesheni iko juu sana, wezesha Modi Tulivu. Kuwezesha kipengele hiki kunaweza kupunguza kasi ya uchapishaji. Kulingana na aina ya karatasi na mipangilio ya ubora wa kuchapisha uliyoteua, huenda kusiwe na tofauti katika kiwango cha kelele ya kichapishi.

  • Windows

    Washa Modi Tulivu kwenye kichupo cha Kuu katika kiendeshi cha kichapishi.

  • Mac OS

    Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwenye menyu > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisha na Tambaza, Chapisha na Tuma Faksi), na kisha uteue kichapishi. Bofya Chaguo na Vifaa > Chaguo (au Kiendeshi). Teua On kama mpangilio wa Modi Tulivu.