Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Ulinganishaji visivyo
Kingo za Picha Zinakatwa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Katika Windows, huwezi kukatisha kazi ya uchapishaji kutoka kwenye kompyuta pindi inapotumwa kwenye kichapishi.Katika hali hii, katisha kazi ya uchapishaji ukitumia paneli dhibiti ya kichapishi.
Wakati unachapisha kurasa kadhaa kutoka Mac OS, huwezi kukatisha uchapishaji wote ukitumia paneli dhibiti.Katika hali hii, katisha uchapishaji kutoka kwa kompyuta.
Ikiwa umetuma kazi ya uchapishaji kutoka kwa Mac OS X v10.6.8 kupitia mtandao, huenda usiweze kukatisha uchapishaji kutoka kwa kompyuta.Katika hali hii, katisha kazi ya uchapishaji ukitumia paneli dhibiti ya kichapishi.