/ Kukarabati Kichapishi / Kusafisha Kijia cha Karatasi

Kusafisha Kijia cha Karatasi

Wakati uchapishaji una uchafu au kuchakaa, safisha kibiringizaji kiicho ndani.

Muhimu:

Usitumie karatasi ya shashi kusafisha ndani mwa kichapishi. Nozeli za kichwa cha kushapisha zinaweza kuzibwa na nyuzi za pamba.

  1. Hakikisha hakuna vumbi au uchafu kwenye glasi ya kichanganuzi na jalada la waraka.

  2. Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.

  3. Anza kunakili bila kuweka nakala asili glasi ya kichanganuzi.

    Karatasi linaondolewa kwenye kichapishi.

  4. Rudia utaratibu huu hadi karatasi iwache kucahfuliwa na wino.