/ Kubadilisha Vibweta vya Wino / Kukagua Viwango vya Wino / Kukagua Viwango vya Wino — Mac OS

Kukagua Viwango vya Wino — Mac OS

  1. Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwenye menyu ya > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisho na Tambazo, Chapisho na Faksi), na kisha uteue kichapishi.

  2. Bofya Chaguo & Vifaa > Huduma > Fungua Huduma ya Printa.

  3. Bofya EPSON Status Monitor.