/ Kuchapisha / Kuchapisha kutoka kwa Kompyuta / Mambo Msingi ya Uchapishaji — Mac OS

Mambo Msingi ya Uchapishaji — Mac OS

Kumbuka:

Ufafanuzi katika sehemu hii hutumia TextEdit kama mfano.Utendaji na skrini zinaweza kutofautiana kulingana na programu.Angalia msaada wa programu kwa maelezo.

  1. Weka karatasi katika kichapishi.

  2. Fungua faili unayotaka kuchapisha.

  3. Chagua Chapisha kutoka kwa menyu ya Faili au amri nyingine ili ufikie mawasiliano ya uchapishaji.

    Ikiwa inahitajika, bofya Onyesha Maelezo au ili upanue dirisha la uchapishaji.

  4. Fanya mipangilio ifuatayo.

    • Kichapishi: Teua kichapishi chako.
    • Vidhibiti: Teua unapotaka kutumia mipangilio iliyosajiliwa.
    • Ukbwa wa Krtasi: Teua ukubwa wa karatasi uliyoingiza katika kichapishi.
      Wakati unachapishaji bila pambizo, teua ukubwa wa karatasi “usio na mipaka”.
    • Mwelekeo: Teua mwelekeo unaoweka programu.
    Kumbuka:
    • Ikiwa menyu za mpangilio hapa juu hazitaonyeshwa, funga dirisha la chapa, chagua Mpangilio wa Karatasi kutoka kwenye menyu ya Faili, na kisha uweke mipangilio hiyo.

    • Wakati unachapisha kwenye bahasha, chaguo mwelekeo wa mlalo.

  5. Teua Mipangilio ya Kuchapisha kutoka kwa menyu ibukizi.

    Kumbuka:

    Kwenye OS X Mountain Lion au ya baadaye, ikiwa menyu ya Mipangilio ya Kuchapisha haionekani, kiendeshi cha kichapishi cha Epson hakijasakinishwa vizuri.

    Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwa menyu ya > Kichapishi na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Tuma Faksi), ondoa kichapishi, na kisha uongeze kichapishi tena.Angalia yafuatayo ili uongeze printa.

    http://epson.sn

  6. Fanya mipangilio ifuatayo.

    • Media Type: Teua aina ya karatasi uliyoweka.
    • Print Quality: Teua ubora wa kuchapisha.
      Kuteua Nzuri hutoa uchapishaji wa hali ya juu zaidi, lakini kasi ya uchapishaji huenda ikawa ya chini.
    • Ukuzaji: Hupatikana wakati unapochagua ukubwa wa karatasi usio na mipaka.
      Katika uchapishaji wa bila mipaka, data ya uchapishaji hukuzwa kiasi kidogo zaidi ya ukubwa wa karatasi ili kusiwe na pambizo zinachapishwa kando ya kingo za karatasi.Teua kiasi cha ukuzaji.
    • Rekebu-kijivu: Teua kuchapisha kwa rangi nyeusi au kivuli cha rangi ya kijivu.
  7. Bofya Chapisha.