Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Ulinganishaji visivyo
Kingo za Picha Zinakatwa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Miongozo ifuatayo hutumika na printa yako ya Epson. Pamoja na miongozo, angalia msaada ikiwa ni pamoja na matumizi mbalimbali ya programu za Epson.
Maagizo Muhimu ya Usalama (mwongozo wa karatasi)
Hukupatia maelekezo kuhakikisha matumizi salama ya printa hii.
Anza Hapa (mwongozo wa karatasi)
Hukuaptia taarifa ya kufunga printa, kusakinisha programu, kutumia printa, kutatua matatizo, na kuendelea.
Mwongozo wa Mtumiaji (mwongozo wa dijitali)
Mwongozo huu. Hukupatia maelezo na maelekezo kwa ujumla kuhusu matumizi ya printa, mipangilio ya mtandao wakati unatumia printa kwenye mtandao, na utatuzi wa kasoro.
Unaweza kupata matoleo mapya ya miongozo iliyo hapa juu kwa kutumia mbinu zifuatazo.
Mwongozo wa karatasi
Tembelea tovuti ya usaidizi ya Epson Ulaya http://www.epson.eu/Support, au tovuti ya usaidizi wa Epson duniani iliyo http://support.epson.net/.
Mwongozo wa kidijitali
Anzisha EPSON Software Updater kwenye kompyuta yako. EPSON Software Updater hukagua visasisho vilivyopo vya prograu za Epson na miongozi ya kidijitali, na hukuruhusu kupakua mpya.