Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Ulinganishaji visivyo
Kingo za Picha Zinakatwa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Kuwa makini unaposhughulikia katriji zilizotumika za wino, kwani kunaweza kuwa na wino kando ya lango la kutoa wino.
Wino ukikumwagikiwa kwenye ngozi, safisha sehemu hiyo vizuri ukitumia sabuni na maji.
Wino ukiingia ndani ya macho yako, yamwagie maji mara moja. Maumivu au matatizo ya kuona yakiendelea baada ya kuyamwagia maji, mtembelee daktari mara moja.
Wino ukiingia mdomoni mwako, mtembelee daktari mara moja.
Usifungue katriji ya wino, la sivyo wino unaweza kuingia ndani ya macho yako au kukumwagikia kwenye ngozi.
Usitikise katriji za wino na nguvu na usiziangushe. Pia, chunga usizifinye au kurarua lebo zao. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha uvujaji wa wino.
Weka katriji za wino mbali na watoto.