/ Kukarabati Kichapishi / Kulinganisha Kichwa cha Kuchapisha / Kulinganisha Kichwa cha Kuchapisha — Mac OS

Kulinganisha Kichwa cha Kuchapisha — Mac OS

  1. Pakia laha tupu nne au zaidi W zenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.

  2. Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwenye menyu > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisha na Tambaza, Chapisha na Tuma Faksi), na kisha uteue kichapishi.

  3. Bofya Chaguo na Vifaa > Huduma > Fungua Huduma ya Printa.

  4. Bofya Print Head Alignment.

  5. Fuata maagizo ya kwenye skrini.