Taa kwenye peneli ya udhibiti zinaonyesha hali ya kichapishi.

: Washa
|
Taa |
Hali |
|---|---|
![]() |
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa pasi waya (Wi-Fi). |
![]() |
Kichapishi kimeunganishwa kwa mtandao wa modi ya Wi-Fi Direct (AP rahisi). |
Wakati hitilafu zinatokea, taa huwaka au kumwekamweka. Maelezo ya hitilafu huonekana kwenye skrini ya kompyuta.
/
: Washa
/
: Inamwekamweka
|
Taa |
Hali |
Suluhisho |
|---|---|---|
![]() |
Hitilafu ya muunganisho wa Wi-Fi imetokea. |
Bonyeza kitufe cha |
![]() |
Kibweta cha wino kimetumika au hakuna wino wa kutosha kwenye kibweta ili kuchaji wino. |
Ili kuhakikisha unapata uchapishaji wa ubora wa juu na kusaidia kulinda kichwa chako cha kuchapisha, akiba tofauti ya usalama ya wino hubakia katika kibweta wakati kichapishi chako kinakuonyesha unafaa kubadilishwa kibweta. Badilisha kwa kibweta kipya cha wino. |
|
Kibweta cha wino hakijasakinishwa. |
Sakinisha kibweta cha wino. |
|
|
Kibweta cha wino hakijatambuliwa. |
Bonyeza chini kibweta cha wino kwa nguvu. |
|
|
Kibweta cha wino kisichoauniwa kimesakinishwa. |
Sakinisha kibweta cha wino kinachoauniwa na kichapishi hiki. Huwezi kutumia vibweta ambavyo vilikuja na kichapishi kwa ubadilishaji. |
|
![]() |
Kibweta cha wino kinakaribia kuisha. Unaweza kuchapisha hadi mwangaza wa |
Tayarisha kibweta kipya cha wino. Unaweza kuangalia viwango vya wino kwenye kompyuta. |
![]() |
Hakuna karatsi imewekwa au zaidi ya karatasi moja zimeingizwa kwa wakati mmoja. |
Weka karatasi na ubonyeze kitufe cha |
![]() |
Kumweka polepole (kila baada ya sekunde 1.25) Karatasi imekwama. |
Ondoa karatasi na ubonyeze kitufe cha |
|
Kumweka haraka (kila baada ya sekunde 0.5) Karatasi inasalia ndani ya kichapishi. |
Pakia karatasi ya ukubwa wa A4 kwenye eneo la nyuma la karatasi, na kisha ubonyeze kitufe cha |
|
![]() |
* Nishati ilizimwa kwa uknada au kitenganishaji cha nishati, plagi iliondolewa kwenye towe, au tatizo la umeme lilitokea. |
|
![]() |
Kumweka kwa mpokezano Pedi ya wino iko karibu au imefikisha mwisho wa huduma yake. |
Padi za wino zinahitaji kubadilishwa. Wasiliana na Epson au mtoa huduma aliyeidhinishwa na Epson ili ubadilishe padi ya wino.*1 Sio sehemu ya kukarabatiwa na mtumiaji. Wakati ujumbe unaosema kwamba unaweza kuendelea kuchapisha unaonekana kwenye kompyuta, bonyeza kitufe cha |
|
Kumweka kwa kubadilika Padi ya wino ya uchapishaji usiokuwa na mipaka iko karibu au imefikisha mwisho wa huduma yake. |
Padi ya wino ya uchapishaji usiokuwa na mipaka inahitaji kubadilishwa. Wasiliana na Epson au mtoa huduma aliyeidhinishwa na Epson ili ubadilishe padi ya wino.*1 Sio sehemu ya kukarabatiwa na mtumiaji. Wakati ujumbe unaosema kwamba unaweza kuendelea kuchapisha unaonekana kwenye kompyuta, bonyeza kitufe cha Uchapishaji usiokuwa na mpaka haupatikani, lakini kuchapisha mpaka kunapatikana. |
|
![]() |
Kichapishi kimeanza katika modi ya kurejesha kwa sababu sasisho la programu msingi halijafaulu. |
Fuata hatua zilizo hapa chini ujaribu kusasisha ngome tena. 1. Unganisha kompyuta na kichapishi ukitumia kebo ya USB. (Wakati wa modi ya kurejesha, huwezi kusasisha programu msingi kupitia muunganisho wa mtandao.) 2. Tembelea tovuti yako ya Epson kwa maelekezo zaidi. |
![]() |
Hitilafu ya printa imetokea. |
Fungua kitengo cha kitambazo na uondoe karatasi yoyote au nyenzo yoyote ya kuilinda ndani ya kichapishi. Zima na uwashe printa tena. Ikiwa hitilafu itaendelea kuonekana baada ya kuzima nishati na kuwasha tena, wasiliana na usaidizi wa Epson. |
*1 Katika baadhi ya mizunguko ya uchapishaji kiasi kidogo sana cha wino wa ziada kinaweza kukusanywa katika padi ya wino. Ili kuzuia uvujaji wa wino kutoka kwa padi, printa hii imeundwa kusimamisha uchapishaji wakati padi imefikisha kikomo chake. Kuhitajika kwake na mara inayohitajika kutatofautiana kulingana na idadi ya kurasa unazochapisha, aina ya nyenzo unayochapisha na idadi ya mizunguko ya usafisha ambayo printa inafanya. Kuhitajika kwa ubadilishaji wa padi hakumaanishi kwamba printa yako imewacha kufanya kazi kulingana na sifa zake. Printa itakuarifu wakati padi inahitajika kubadilishwa na jambo linaweza tu kufanywa na Mtoa huduma aliyeidhinishwa na Epson. Udhamini wa Epson hausimamii gharama ya ubadilishaji huu.