/ Kubadilisha Vibweta vya Wino / Kukagua Viwango vya Wino

Kukagua Viwango vya Wino

Unaweza kuangalia viwango vya wino kwenye kompyuta.

Kumbuka:

Unaweza kuendelea kuchapisha wakati ujumbe wa kupungua kwa wino umeonyeshwa. Badilisha katriji za wino unapohitajika.