Anzisha Epson iPrint kutoka kwa kifaa chako mahiri na uchague kipengele unachotaka kutumia kutoka kwa skrini ya nyumbani.
Skrini zifuatazo zinaweza kubadilishwa bila ilani.

|
|
Skrini ya nyumbani inayoonekana wakati programu-tumizi imeanzishwa. |
|
|
Huonyesha maelezo kuhusu jinsi ya kusanidi kichapishi na Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara. |
|
|
Huonyesha skrini unapoweza kuteua kichapishi na kuweka mipangilio ya kichapishi. Ukishateua kichapishi, huhitaji kuichagua ten wakati ujao. |
|
|
Huonyesha skrini ya utambazaji. |
|
|
Skrini ya utambazaji inayoonyeshwa wakati menyu ya kutambaza imeteuliwa. |
|
|
Huonyesha skrini unapoweza kuweka mipangilio ya utambazaji kama vile msongo. |
|
|
Huonyesha picha zilizotambazwa. |
|
|
Huanzisha utambazaji. |
|
|
Huonyesha skrini unapoweza kuhifadhi dara iliyotambazwa kwenye kifaa mahiri au huduma za Wingu. |
|
|
Huonyesha skrini unapoweza kutuma data iliyotambazwa kupitia barua pepe. |
|
|
Huonyesha skrini unapoweza kuchapisha data iliyotambazwa. |