Chaguo za Menyu kwa Mipangilio
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Mbinu hii hukuruhusu kuunganisha kichapishi moja kwa moja kwenye vifaa maizi bila kipanga njia pasiwaya.
Unahitaji kuunda mipangilio hii kwa kichapishi na kifaa maizi unachotaka kuunganisha mara moja. Isipokuwa ulemaze Wi-Fi Direct au kurejesha mipangilio ya mtandao kwa chaguo-msingi yake, huhitaji kuunda mipangilio hii tena.
Teua Unganisha simu maizi kwenye skrini ya nyumbani kwa kutumia vitufe vya
, na kisha kubonyeza kitufe cha Sawa.

Angalia ujumbe, na kisha ubonyeze kitufe cha Sawa ili kuendelea.
Teua Vifaa Vingine vya OS kwa kutumia vitufe
, na kisha bonyeza kitufe cha Sawa.

Jina la Mtandao na Nenosiri kwa Wi-Fi Direct vya kichapishi vinaonyeshwa.
Kwenye skrini ya Wi-Fi ya kifaa maizi, teua Jina la Mtandao iliyoonyeshwa kwenye paneli dhibiti, na kisha uingize nenosiri.
Picha ya skrini ni mfano kwenye iPhone. 
Kwenye paneli dhibiti ya kichapishi, bonyeza kitufe cha Sawa.
Kwenye kifaa maizi, washa programu ya uchapishaji ya Epson.
Mifano ya programu za uchapishaji za Epson

Kwenye skrini ya programu ya uchapishaji ya Epson, donoa Printer is not selected.
Teua kichapishi unachotaka kuunganisha.

Tazama maelezo yaliyoonyeshwa kwenye paneli dhibiti ya kichapishi ili kuteua kichapishi.

Kwenye paneli dhibiti ya kichapishi, bonyeza kitufe cha Sawa.
Kwa vifaa maizi ambavyo vimeunganishwa kwenye kichapishi mbeleni, teua jina la mtandao (SSID) kwenye skrini ya Wi-Fi ya kifaa maizi ili kuviunganisha tena.