Chaguo za Menyu kwa Mipangilio
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Soma karatasi ya maelekezo iliyokuja na karatasi.
Pepeza na upange kingo za karatasi kabla ya kuzipakia. Usipepeze au kukunja karatasi ya picha. Kufanya hivyo kunaweza kuharibu upande wa kuchapisha.

Ikiwa karatasi imekunjwa, inyoroshe au ikunje kidogo upande huo mwingine kabla ya kupakia. Kuchapisha kwenye karatasi zilizokunjwa kunaweza kusababisha karatasi kukwamba na uchafu kwenye uchapishaji.

Usitumie karatassi ambayo ina mawimbi, imeraruka, imekatwa, kukunjwa, pwetepwete, nyembamba sana, au karatasi iliyo na mabango juu yake. Utumiaji wa aina hizi za karatasi husababisha ukwamaji wa karatasi na uchafu kwenye uchapishaji.
Pepeza na upange kingo za bahasha kabla ya kuzipakia. Wakati bahasha zilizokusanywa zimefurishwa na hewa, zifinye chini ili uzifanye tambarare kabla ya kuzipakia.

Usitumie bahasha ambazo zimekunjika au kukunjwa. Utumiaji wa bahasha hizi husababisha ukwamaji wa karatasi na uchafu kwenye uchapishaji.
Usitumie bahasha zilizo na sura zenye kunata kwenye kifuniko au dirisha la bahasha.
Epuka kutumia bahasha ambazo ni nyembamba sana, kwani zinaweza kukunjika wakati wa uchapishaji.