/ Kuchapisha / Kuchapisha kutoka kwa Kompyuta / Kuchapisha Ukitumia Vipengele Mahiri / Kuchapisha Kichwa na Wayo (kwa Windows Peke Yake)

Kuchapisha Kichwa na Wayo (kwa Windows Peke Yake)

Unaweza kuchapisha taarifa kama vile jina la mtumiaji na tarehe ya kuchapisha kama kichwa au wayo.

Bofya Vipengele vya Taswira fifi katika kichupo cha Chaguo Zaidi, na kisha uchague Kijajuu/Kijachini. Bofya Mipangilio na uchague vipengele muhimu kutoka wka orodha tiriri.