Chaguo za Menyu kwa Mipangilio
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Pakua Uninstaller ukitumia EPSON Software Updater.
Ukishapakua Uninstaller, huhitaji kuipakua tena kila wakati unasakinusha programu.
Bonyeza kitufe cha
ili uzime kichapishi.
Ili usakinushe kiendeshi cha printa, chagua Mapendeleo ya Mfumo katika Apple menyu > Printa & Vitambazo (au Chapisha & Tambaza, Chapisha & Tuma Faksi), na kisha uondoe printa kutoka kwa orodha ya printa zilizowezeshwa.
Toka kwa programu-tumizi zote zinazoendeshwa.
Teua Nenda > Programu > Epson Software > Uninstaller.
Chagua programu unayotaka kusakinusha, na kisha ubofye Uninstall.
Uninstaller huondoa viendeshi vyote vya printa za jeti ya wino za Epson kutoka kwa kompyuta. Ukitumia printa nyingi za jeti ya wino za Epson na unataka kufuta baadhi ya viendeshi peke yake, futa zote kwanza, na kisha usakinishe kiendeshi cha printa unachotaka tena.
Ikiwa huwezi kupata programu unayotaka kusakinusha katika orodha ya programu, huwezi kusakinusha ukitumia Uninstaller. Katika hali hii, chagua Nenda > Programu > Epson Software, chagua programu unayotaka kusakinusha, na kisha uikokote kwenye ikoni ya taka.