Chaguo za Menyu kwa Mipangilio
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Katika mizunguko fulani ya uchapishaji viango vidogo vya wino wa ziada vinaweza kukusanywa katika kisanduku cha ukarabati. Ili uzuie uvujaji wa wino kutoka kwa kisanduku cha ukarabati, printa imeundwa kusimamisha uchapishaji wakati uwezo wa kunyonya wa kisanduku cha ukarabati imefikisha kikomo chake. Kuhitajika kwake na mara inayohitajika kutatofautiana kulingana na idadi ya kurasa unazochapisha, aina ya nyenzo unayochapisha na idadi ya mizunguko ya usafisha ambayo printa inafanya. Badilisha kisanduku cha ukarabati wakati unaambiwa kufanya hivyo. Kifuatilia Hali cha Epson, LCD yako au taa zilizo kwenye paneli dhibiti zitakuarifu wakati sehemu hii inahitaji kubadilishwa. Kuhitajika kwa ubadilishaji wa kisanduku hakumaanishi kwamba printa yako imewacha kufanya kazi kulingana na sifa zake. Udhamini wa Epson hausimamii gharama ya ubadilishaji huu. Ni sehemu inayokarabatiwa na mtumiaji.

Wakati kikasha cha matengenezo kimejaa, huwezi kuchapisha au kusafisha kichwa cha kuchapisha hadi kibadilishwe ili kuzuia umwagikaji wa wino. Hata hivyo, unaweza kutenda shughuli zisizotumia wino kama vile utambazaji.
Wakati skrini inayofuata imeonyeshwa, sehemu haiwezi kubadilishwa na watumiaji. Wasiliana na usaidizi wa Epson.

Ondoa kikasha kipya cha matengenezo kutoka kwa kifurushi chake.
Usiguse chipu ya kijani iliyo upande wa kando wa kisanduku cha ukarabati. Kufanya hivyo kunaweza kuzuia utendaji na uchapishaji wa kawaida.
Mfuko angavu wa kisanduku kilichotumika cha ukarabati umetolewa pamoja na kisanduku kipya cha ukarabati.
Regeza parafujo kwa bisibisi yenye kichwa tambarare, na kisha ondoa kifuniko.

Ondoa kikasha cha matengenezo kilichotumika.

Usiguse sehemu zinazoonyeshwa kwenye picha. Ukifanya hivyo unaweza kuzuia utendaji wa kawaida na unaweza kujipaka wino.

Weka kisanduku kilichotumika cha ukarabati katika mfuko angavu ambao ulikuwa pamoja na kisanduku kipya cha ukarabati na ufungu mfuko huo.

Ingiza kisanduku kipya cha ukarabati ndani ya printa. Hakikisha umechomeka kisanduku kwenye mwelekeo sahihi.

Weka upya kifuniko.

Angalia ujumbe, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.