Chaguo za Menyu kwa Mipangilio
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Kiendeshi cha kichapishi hudhibiti printa kulingana na amri za programu. Kuweka mipangilio kwenye kiendeshi cha kichapishi hutoa matokeo bora zaidi ya uchapishaji. Pia unaweza kuangalia hali ya kichapishi au kuiweka ikiwa katika hali nzuri kwa kutumia huduma ya kiendeshi cha kichapishi.
Bofya Mpangilio wa Karatasi au Chapisha kwenye menyu ya Faili ya programu yako. Inapohitajika, bofya Onyesha Maelezo (au
) ili uongeze dirisha la uchapishaji.
Kulingana na programu inayotumika, Mpangilio wa Karatasi huenda usionyeshwe katiak menyu ya Faili, na shughuli za kuonyesha skrini ya kuchapisha huenda ikatofautiana. Angalia msaada wa programu kwa maelezo.
Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi. Bofya Chaguo na Vifaa > Huduma > Fungua Huduma ya Printa.