Chaguo za Menyu kwa Mipangilio
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Weka karatasi katika kichapishi.
Weka nakala za kwanza.
Ingiza Nakili kutoka kwenye skrini ya mwanzo kwa kutumia kitufe cha
au
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Weka idadi ya nakala zinazotumia kitufe cha
au
.
Teua nakala ya rangi au nakala ya rangi moja kwa kutumia kitufe cha
au
na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Mipangilio kwa kutumia kitufe cha
au
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK. Ili kubadilisha mipangilio, bonyeza kitufe cha
, teua vipengee vya mpangilio kwa kutumia kitufe cha
au
, na kisha ubadilishe mipangilio kwa kutumia kitufe cha
au
. Unapokamilisha, bonyeza kitufe cha OK.
Iwapo unataka kunakili kwa kupunguza au kuongeza ukubwa wa waraka kwa silimia maalum, teua Ukubwa Maalum kama mpangilio wa Punguza/Ongeza, bonyeza kitufe cha
, na kisha ubonyeze kitufe cha
au
ili kubainisha asilimia. Unaweza kubadilisha asilimia ya kuongeza ya 10% kwa kushikilia chini kitufe cha
au
.
Bonyeza kitufe cha
.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.