Epson inapendekeza utumie karatasi halali ya Epson ili kuhakikisha uchapishaji wa hali ya juu.
Upatikanaji wa karatasi unategemea eneo. Kwa maekezo mapya kuhusu karatasi inayopatikana katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

|
Jina la Midia |
Ukubwa |
Uwezo wa Kupakia (Laha) |
|---|---|---|
|
Epson Bright White Ink Jet Paper |
A4 |
Hadi kwenye mstari unaoonyeshwa na alama ya pembetatu kwenye mwongozo wa ukingo. |

|
Jina la Midia |
Ukubwa |
Uwezo wa Kupakia (Laha) |
|---|---|---|
|
Epson Matte Paper-Heavyweight |
A4 |
20 |
|
Epson Photo Quality Ink Jet Paper |
A4 |
80 |

|
Jina la Midia |
Ukubwa |
Uwezo wa Kupakia (Laha) |
|---|---|---|
|
Epson Ultra Glossy Photo Paper |
A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.) |
20* |
|
Epson Premium Glossy Photo Paper |
A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.) |
20* |
|
Epson Premium Semigloss Photo Paper |
A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.) |
20* |
|
Epson Photo Paper Glossy |
A4, 13×18 cm (5×7 in.), 10×15 cm (4×6 in.) |
20* |
* Pakia karatasi moja kwa wakati mmoja ikiwa karatasi haitangia vizuri au ikiwa chapa ina rangi zisizo sawa au uchafu.