/ Kuchapisha / Kuchapisha kutoka kwa Kompyuta / Kuchapisha Ukitumia Vipengele Mahiri / Kuchapisha Waraka Wenye Ukubwa Uliopunguzwa au Kuongezwa

Kuchapisha Waraka Wenye Ukubwa Uliopunguzwa au Kuongezwa

Unaweza kupunguza au kuongeza ukubwa wa waraka kwa asilimia maalum.

Windows
Kumbuka:

Kipengele hiki hakipatikani kwa uchapishaji usio na mipaka.

Weka Ukubwa wa Waraka katika kichupo cha Chaguo Zaidi.Teua Punguza/Kuza Waraka, Kuza hadi, na kisha uandike aslimia.

Mac OS
Kumbuka:

Utendaji hutofautiana kulingana na programu.Angalia msaada wa programu-tumizi kwa maelezo.

Teua Mpangilio wa Karatasi (au Chapisha) kwenye menyu ya Faili.Teua kichapishi kutoka kwa Umbizo La, teua ukubwa wa karatasi, na kisha uingiza asilimia katika Kipimo.Funga dirisha, na kisha uchapishe maelekezo msingio ya uchapishaji yanayofuata.