Kuangalia SSID kwa Kompyuta

Windows

Bofya kwenye trei ya kazi katika eneo kazi. Angalia jina la SSID iliyounganishwa kutoka kwenye orodha iliyoonyeshwa.

Mac OS

Bofya ikoni ya Wi-Fi upande wa juu wa skrini ya kompyuta. Orodha ya SSID inaonyeshwa na SSID iliyounganishwa inaashiriwa kwa alama ya kuteua.