/ Chaguo za Menyu kwa Mipangilio / Chaguo za Menyu kwa Vitendaji vya Mwongozo

Chaguo za Menyu kwa Vitendaji vya Mwongozo

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Vitendaji vya Mwongozo

Karatasi Hailingani

Huonyesha tahadhari iwapo mipangilio ya karatasi (mipangilio ya chapisho) ya kazi ya chapishohailingani na mipangilio ya karatasi ya kichapishi iliyoundwa ulipopakia karatasi. Mpangilio huu huzuia uchapishaji usiofaa. Wakati Ony. Ot. Usan'i/ Kar. imelemazwa kwenye menyu ifuatayo, skrini ya kuweka karatasi halijaonyeshwa. Katika hali hii, huwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad au iPod touch ukitumia AirPrint.

Mipangilio > Usanidi wa Printa > M'gilio Chanzo Karatasi