/ Kuchapisha / Kuchapisha kutoka kwa Kompyuta / Kuchapisha ili Itoshee Katika Ukubwa wa Karatasi / Kuchapisha ili Kutosheleza Ukubwa wa Karatasi — Mac OS

Kuchapisha ili Kutosheleza Ukubwa wa Karatasi — Mac OS

  1. Weka karatasi katika kichapishi.

  2. Fungua faili unayotaka kuchapisha.

  3. Fikia kidadisi cha uchapishaji.

  4. Teua ukubwa wa karatasi unayoweka katika programu kama mpangilio wa Ukbwa wa Krtasi.

  5. Teua Ushughulikiaji wa Karatasi kutoka kwa menyu ibukizi.

  6. Teua Kipimo ili kutosheleza ukubwa wa karatasi.

  7. Teua ukubwa wa karatasi uliopakiwa katika kichapishi kama mpangilio wa Ukubwa wa Karatasi la Mafikio.

  8. Weka vipengele hivyo vingine inavyohitajika.

  9. Bofya Chapisha.