/ Kuchapisha / InakatishaInaInakatisha Uchapishaji / Kukatisha Uchapishaji — Windows

Kukatisha Uchapishaji — Windows

  1. Nenda kwa dirisha la kiendeshi cha printa.

  2. Chagua kichupio cha Utunzaji.

  3. Bofya Foleni ya U'haji.

  4. Bofya kulia kwenye uchapishaji unaotaka kusitisha na kisha uchague Katisha.