/ Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu / Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS / Mwongozo wa Mac OS Kiendeshi cha Kichapishi

Mwongozo wa Mac OS Kiendeshi cha Kichapishi

Kidadisi cha uchapishaji

Badili menyu ibukizi iliyo katikati mwa skrini ili kuonyesha vipengee zaidi.

Menyu Ibukizi

Ufafanuzi

Mpangilio

Unaweza kuchagua mpangilio wa kuchapisha kurasa kadhaa kwenye karatasi moja au uchague kuchapisha mpaka.

Ulinganishaji wa Rangi

Unaweza kurekebisha rangi.

Ushughulikiaji wa Karatasi

Unaweza kupunguza au kuongeza ukubwa wa kazi ya uchapishaji ili kutosheleza ukubwa wa karatasi unaopakia.

Ukurasa wa Jalada

Unaweza kuteua jaladaa ya myaraka zako.Teua Aina ya Ukurasa wa Jalada ili kuweka maudhui ya kupakwa rangi kwenye jalada.

Mipangilio ya Kuchapisha

Unaweza kuweka mipangilio msingi ya uchapishaji kama vile aina ya karatasi na ubora wa uchapishaji.

Color Options

Wakati unapochagua EPSON Color Controls kutoka kwenye menyu Ulinganishaji wa Rangi, unaweza kuchagua mbinu ya kusahihisha rangi.

Two-sided Printing Settings

Unaweza kuchagua mwelekeo wa kubana wa uchapishaji wa pande 2 au chagua aina ya hati.

Kumbuka:

Katika OS X Mountain Lion au toleo lipya, ikiwa menyu ya Mipangilio ya Kuchapisha haionekani, kiendeshi cha Epson hakijasakinishwa vizuri.

Chagua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwa menyu > Printa & Vitambazo (au Chapisha & Tambaza, Chapisha & Tuma Faksi), ondoa printa, na kisha uongeze printa tena.Fikia tovuti ifuatayo, kisha uingize jina la bidhaa.Nenda kwenye Usaidizi, na kisha utazame Vidokezo.

http://epson.sn

Epson Printer Utility

Unaweza kuendesha kipengele ca udumishaji kamaa vile ukaguzi wa nozeli na usafishaji wa kichwa cha kuchapisha, na kwa kuanzisha EPSON Status Monitor, unaweza kuangalia hali ya kichapishi na maelezo ya kosa.