Chaguo za Menyu kwa Mipangilio
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Ikiwa nozeli zimeziba, uchapishaji unakuwa fifu, mistati inaonekana, au rangi zisizotarajiwa zinaonekana. Wakati hali ya uchapishaji imepungua, tumia kipengele cha kukagua nozeli na ukague kama nozeli zimeziba. Ikiwa nozeli zimeziba, safisha kichwa cha uchapishaji.
Usifungue kitengo cha kitambazo au kuzima printa wakati wa usafishaji wa kichwa. Ikiwa usafisha wa kichwa haujakamilika, huenda usiweze kuchapisha.
Kusafisha kichwa hutumia wino mwingi na unapaswa kufanywa ikiwa ni muhimu tu.
Wakati wino ni kidogo, huenda usiweze kusafisha kichwa cha kuchapisha.
Ikiwa ubora wa wino haujakuwa bora baada ya kukagua nozeli mara kadhaa na kusafisha kichwa mara nne, subiri angalau saa sita bila kuchapisha, na kisha ufanye ukaguzi wa nozeli tena na urudie usafishaji wa kichwa ikiwa unahitajika. Tunapendekeza uzime printa. Ikiwa ubora wa uchapishaji bado haujakuwa bora, wasiliana na usaidizi wa Epson.
Ili kuzuia kucha cha uchapishaji kisikaue, usichomoe printa wakati nishati imewashwa.