/ Kuchapisha / Kuchapisha kutoka kwa Kompyuta / Kuchapisha Ukitumia Vipengele Mahiri / Kuchapisha Taswira Fifi (kwa Windows Pekee)

Kuchapisha Taswira Fifi (kwa Windows Pekee)

Unaweza kuchapisha taswira fifi kama vile (Ya Siri) kwenye uchapishaji wako.Pia unaweza kuongeza taswira fifi yako mwenyewe.

Kumbuka:

Kipengele hiki hakipatikani na uchapishaji usio na mipaka.

Bofya Vipengele vya Taswira fifi kwenye kichupo cha Chaguo Zaidi, na kisha uchague taswira fifi.Bofya Mipangilio ili kubadilisha maelezo kama vile uzito na mkao wa taswira fifi.