/ Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu / Huduma ya Epson Connect

Huduma ya Epson Connect

Kwa kutumia huduma ya Epson Connect inayopatikana mtandaoni, unaweza kuchapisha kutoka kwa simu yako mahiri, kijilaptopu, au laptopu, wakati wowote na kutoka mahali popote.

Vipengele vinavyopatikana kwenye Wavuti ni kama vifuatavyo.

Email Print

Uchapishaji wa mbali Epson iPrint

Scan to Cloud

Remote Print Driver

Angalia tovuti ya lango la Epson Connect upate maelezo.

https://www.epsonconnect.com/

http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)