/ Utambazaji / Utambazaji Kupitia Paneli Dhibiti / Utambazaji kwenye Kompyuta (WSD)

Utambazaji kwenye Kompyuta (WSD)

Kumbuka:
  • kipengele hiki hupatikana tu kwa kompyuta zinazotumia Windows 10/Windows 8.1/Windows 8/Windows 7/Windows Vista.

  • Ikiwa unatumia Windows 7/Windows Vista, unahitaji kusanidi kompyuta yako mapema kwa kutumia kipengele hiki.

  1. Weka nakala za kwanza.

  2. Teua Changanua kwenye skrini ya nyumbani.

  3. Teua Kompyuta (WSD).

  4. Teua kompyuta.

  5. Donoa .