Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao hadi Ethaneti kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kupokea Faksi kwenye Kichapishi
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matini au taswira Iliyonakiliwa kutoka kwenye ADF Imefinywa au Kurefushwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
|
Uwekaji Kabla Uchapishaji |
Uwekaji upya wa Kuongeza/Kuondoa |
Unaweza kuongeza au kuondoa uwekaji awali wako binafsi kwa mipangilio ya chapisho inayotumika kila rama.Teua uwekaji awali unaotaka kuona kutoka kwenye orodha. |
|
Onyesha Mipangilio |
Huonyesha orodha ya vipengee vilivyowekwa sasa kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi. |
|
|
Weka upya Chaguo-msingi |
Rudisha mipangilio yote hadi thamani yake chaguo-msingi ya kiwanda.Mipangilio kwenye kichupo cha Chaguo Zaidi pia imewekwa upya hadi chaguo-msingi yake. |
|
|
Viwango vya Wino |
Huonyesha makadirio ya viwango vya wino. |
|
|
Chanzo cha K'tasi |
Teua chanzo cha karatasi ambacho karatasi huingizwa.Teua Uteuzi Otomatiki ili kuteua kiotomatiki chanzo cha karatasi kilichoteuliwa kwenye mipangilio ya kuchapisha kwenye paneli dhibiti ya kichapishi. Iwapo kichapishi kina chanzo kimoja tu cha karatasi, kipengee hiki hakionyeshwi. |
|
|
Ukubwa wa Waraka |
Teua ukubwa wa karatasi ambao unataka kuchapisha.Iwapo utateua Mtumiaji-Amefafanuliwa, ingiza upana na urefu wa karatasi. |
|
|
Isiyo na kingo |
Hukuzwa kiasi kidogo zaidi ya ukubwa wa karatasi ili kusiwe na pambizo zinachapishwa kando ya kingo za karatasi.Bofya Mipangilio ili uteue kiwango cha ukuzaji. |
|
|
Mwelekeo |
Teua mwelekeo unaotaka kutumia ili kuchapisha. |
|
|
Aina ya Krtasi |
Teua aina ya karatasi unayochapisha. |
|
|
Ubora |
Teua ubora wa chapisho unaotaka kutumia kwa uchapishaji.Mipangilio inayopatikana inalinganana aina ya karatasi unayoteua.Bofya Mipangilio Zaidi ili uunde mipangilio zaidi. |
|
|
Rangi |
Teua rangi ya kazi yako ya kuchapisha. |
|
|
Uchapishaji wa Pande 2 |
Hukuruhusu kutekeleza uchapishaji wa pande 2. |
|
|
Settings |
Unaweza kubainisha ukingo wa kuunganisha na pambizo za kuunganisha.Unapochapisha nyaraka za kurasa nyingi, unaweza kuteua kuchapisha kuanzia upande wa mbele au upande wa nyuma wa ukurasa. |
|
|
Uzito wa Uchapishaji |
Teua aina ya waraka ili kurekebisha uzito wa chapisho.Iwapo uzito wa chapisho unaofaa umeteuliwa, unaweza kuzuia picha kutokea upande wa nyuma.Teua User Defined ili kurekebisha uzito wa chapisho kikuli. |
|
|
Kurasa Nyingi |
Hukuruhusu kuchapisha kurasa nyingi kwenye laha moja au kutekeleza uchapishaji wa bango.Bofya Mpangilio Kurasa ili kubainisha utaratibu ambao kurasa zinachapishwa. |
|
|
Copies |
Weka idadi ya nakala unazotaka kuchapisha. |
|
|
Pangiliza |
Huchapisha nyaraka nyingi zilizolinganishwa kwa utaratibu na kupangwa kwenye vikundi. |
|
|
Mpangilio Kinyume |
Hukuruhusu kuchapisha kutoka ukurasa wa mwisho ili kurasa zikusanywe kulingana na mpangilio sahihi baada ya kuchapisha. |
|
|
Modi Tulivu |
Hupunguza kelele ambayo kicvhapishi hutoa.Hata hivyo, uwezeshaji wa hii unaweza kupunguza kasi ya uchapishaji. |
|
|
Uhakiki wa Chapisho |
Huonyesha uhakiki wa waraka wako kabla ya kuchapisha. |
|
|
Laiti ya Kipangaji cha Kazi |
Teua chapisho kwa kutumia kipengele cha Laiti ya Kipangaji cha Kazi. |
|