/ Mambo Msingi ya Uchapishaji / Usanidiwa Skrini Msingi

Usanidiwa Skrini Msingi

Huonyesha vipengee ambavyo vimesanidiwa kwa kichapishi kama ikoni.Donoa ikoni ili kuangalia mipangilio ya sasa au fikia kila menyu ya mpangilio.

Mwambaa huu wa kitendo unaonyeshwa kwenye skrini ya nyumbani pekee.

Huonyesha kila menyu.

Badili vichupo.

Huonyesha vipengee vya mpangilio.Donoa kila kipengee ili kuweka au kubadilisha mipangilio.

Vipengee vilivyo na rangi ya kijivu havipatikani.Donoa kipengee ili kuangalia mbona havipatikani.

Tekeleza mipangilio ya sasa.Vitendaji vinavyopatikana vinatofautiana kulingana na kila menyu.

Mwambaa huu wa kitendo unaonyeshwa kwenye kichupo cha mipangilio mdsingi pekee.