/ Mipangilio ya Mtandao / Kulemaza Wi-Fi kutoka kwenye Paneli ua Udhibiti

Kulemaza Wi-Fi kutoka kwenye Paneli ua Udhibiti

Wakati Wi-Fi imelemazwa, muunganisho wa Wi-Fi unakatwa.

  1. Donoa kwenye skrini ya nyumbani.

  2. Teua Wi-Fi (Inapendekezwa).

    Hali ya mtandao imeonyeshwa.

  3. Donoa Badilisha Mipangilio.

  4. Chagua Nyingine > Lemaza Wi-Fi.

  5. Angalia ujumbe, na kisha uanze usanidi.

  6. Wakatu ujumbe wa ukamilisho umeonyeshwa, funga skrini.

    Skrini hufunga kiotomatiki baada ya kipindi maalum cha muda.

  7. Funga skrini ya mipangilio ya muunganisho wa mtandao.