Kuingiza Vibambo

Unaweza kuingiza vibambo na alama kwa kutumia kibodi ya skrini wakati unasajili mwasiliani, unaweka mipangilio ya mtandao, na kuendelea.

Kumbuka:

Ikoni zinazopatikana hutofautiana kulingana na kipengee cha mpangilio.

Huashiria idadi ya vibambo.

Husogeza kishale kwenye upande wa ingizo.

Hubadilisha kati ya herufi kubwa na herufi ndogo au nambari na ishara.

Hubadilisha aina ya kibambo.

: Unaweza kuingiza nambari na ishara.

: Unaweza kuingiza herufi.

Hubadilisha aina ya kibambo. Unaweza kuingiza herufi na tarakimu na vibambo maalum kama vile umlauts na lafudhi.

Huingiza kila mara anwani za kikoa cha barua pepe zinazotumiwa kila mara au URL kwa kuteua kipengee.

Huingiza nafasi.

Huthibitisha vibambo vilivyoingizwa.

Hufuta kibambo upande wa kushoto.