Kubadilisha Muunganisho wa Mtandao hadi Ethaneti kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kutenganisha Muunganisho wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi) kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kurejesha Mipangilio ya Mtandao kutoka kwenye Paneli Dhibiti
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Kupokea Faksi kwenye Kichapishi
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu-tumizi ya Kutambaza na Kuhamisha Taswira (Easy Photo Scan)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Kusasisha Programu dhibiti ya Kichapishi kwa kutumia Paneli Dhibiti
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matini au taswira Iliyonakiliwa kutoka kwenye ADF Imefinywa au Kurefushwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.
Teua Matengenezo kwenye skrini ya nyumbani.
Teua Ulainishaji Kichwa.
Iwapo mistari wima itaonekana kutopangiliwa vizuri au iwapo machapisho yako hayaonekani vizuri, nenda kwenye hatua ya 5. Iwapo utaona bendi ya mlalo kwa vipindi vya kila mara, nenda kwenye hatua ya 11.
Teua Upangiliaji Msingi, na kisha ufuate maagizo yaliyo kwenye skrini ili kuchanpisha ruwaza iliyopangiliwa.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini ili kpangilia kichwa cha kuchapisha.
Tafuta na uteue idadi ya ruwaza ambayo ina mstari michache wima isiyopangiliwa vizuri.

Teua Ulainishaji Wima, na kisha uchapishe ruwaza iliyopangiliwa.
Tafuta na uteue nambari ya ruwaza imara zaidi katika kila kikundi.

Teua Mpangilio uliopigwa Mstari, na kisha uchapishe ruwaza iliyopangiliwa.
Tafuta na uteue idadi ya ruwaza ambayo ina mstari michache wima isiyopangiliwa vizuri.

Upangiliaji umekamilika.
Teua Upangiliaji Kimlalo, na kisha ufuate maagizo yaliyo kwenye skrini ili kuchanpisha ruwaza iliyopangiliwa.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini ili kpangilia kichwa cha kuchapisha.
Tafuta na uteue nambari ya ruwaza iliyogawanywa na inayopishana.
